Kituo cha kuhifadhi manusura wa dhuluma za kijinsia chazinduliwa Nairobi

  • | KBC Video
    28 views

    Mamake mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Michael Jordan, Deloris Jordan, amesifia juhudi za Kenya kwenye vita kwenye dhulma za kijinsia. Deloris ambaye yumo humu nchini kwa ziara ya uhamasisho kuhusu maslahi ya manusura wa dhuluma za kijinsia hata hivyo anasema ipoi haja ya kutafuta suluhu za humu nchini kwa tatizo hilo. Alisema haya katika mtaa wa Roysambu jijini Nairobi ambapo alizindua kituo cha afya cha kushughulikia waathiriwa dhuluma za kijinsia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive