Kituo cha kusaidia kina mama chaanzishwa Samburu

  • | Citizen TV
    80 views

    Huku serikali ikitafuta mbinu mwafaka za kukomesha visa vya utovu wa usalama katika kaunti ya Samburu,serikali ya kuanuti imeazimia kujenga kituo Cha afya ya uzazi maeneo ya mpakani mwa Kaunti ya Samburu na Baringo, ili kuzima uhalifu ambao umekuwa tishio Kwa wakazi wa maeneo hayo. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.