Kituo cha kutoa taarifa za kijasusi 'Fichua kwa DCI' chazinduliwa upya

  • | KBC Video
    312 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amezindua upya kituo cha utoaji taarifa kwa idara ya upelelezi wa jinai DCI almaarufu 'Fichua Kwa DCI'. Waziri alisema kituo hicho kitakuwa na ukurasa wa whatsapp ambapo raia wanaoishi humu nchini na wale walio katika mataifa ya nje wataweza kutoa taarifa za kijasusi na kihalifu bila kuhitajika kujitambulisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive