20 Aug 2025 10:30 am | Citizen TV 10,386 views Duration: 2:08 Kamati ya usalama ya kaunti ya Garissa wamefunga mara moja kituo cha mafunzo cha dini ya Kiislamu cha Quba kufuatia malumbano ya uongozi yaliyosababisha kujeruhiwa kwa watu kadhaa