Kituo cha Ramogi FM kimeshirikiana ana kampuni ya Cocacola kuandaa msafara ya kuhamasisha mashabiki

  • | Citizen TV
    104 views

    Kituo cha Ramogi FM kinachomilikiwa na kampuni ya Royal Media services kimeshirikiana ana kampuni ya Cocacola kuandaa msafara ya kuhamasisha mashabiki na wateja kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali huko Homa Bay, baada ya kuzuru kaunti za Siaya na Kisumu.