Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha Redio cha Iftin kimetoa msaada wa chakula kwa kituo cha watoto cha Najah

  • | KBC Video
    111 views
    Duration: 3:50
    Kituo cha radio cha Iftiin kinachomilikiwa na shirika la utangazaji nchini-KBC kinachopeperusha matangazo yake kwa lugha ya Kisomali kikishirikiana na idara ya mipango maalum, imetoa msaada wa vyakula na bidhaa nyingine kwa kituo cha watoto cha Najah, kilichoko kaunti ya Garissa . Akizungumza wakati wa hafla hiyo, mkuu wa radio ya Iftiin Khassim Adan, alisema mchango huo ni ishara ya kujitolea kwa shirika hilo kuunga mkono jamii hasa kwa wanajamii walio katika mazingira magumu na wasio na uwezo. Ukarimu huo ni sehemu ya shughuli za kuadhimisha miaka 10 tangu kilipoanzishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive