KItuo cha redio cha Muuga Fm chaandaa kambi ya matibabu Meru

  • | Citizen TV
    134 views

    Muuga Fm kwa ushirikiano na wahudumu wa afya kutoka kampuni ya my dawa, imeandaa kambi ya matibabu mjini Meru wikendi hii bila malipo.