Kituo cha Sokwe Laikipia ni kivutio cha watalii

  • | KBC Video
    4 views

    Hifadhi ya Sokwe katika kaunti ya Laikipia ni kituo cha Sokwe waliokolewa kutoka maeneo yote barani Afrika. Sokwe kwa jina Poco na Socrates wenye umri wa miaka 44 ndio wakongwe zaidi katika hifadhi ya Olpejeta huku Sokwe mchanga zaidi akiwa na umri wa miezi kumi. Hifadhi hiyo inajivunia historia ya kutatanisha ya wanyama waliookolewa kutoka misitu iliyo kwenye maeneo yenye joto jingi barani Afrika lakini yenye mvuto kwa wapenzi wa mazingira asilia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive