Kituo cha utafiti wa mimea na mifugo chazindua mbegu mpya ya mtama Makueni

  • | Citizen TV
    161 views

    Kituo cha utafiti wa kilimo na mifugo ( K A LRO) cha katumani kimevumbua mbegu mpya ya mtama inayoweza kustahimili ukame. Maafisa wa kituo hicho wanhamasisha wakulima katika eneo la kathonzweni kaunti ya Makueni kuhusu umuhimu wa kukuza aina hiyo ya mtama. Michael Mutinda amehudhuria hafla hiyo na tunaungana naye moja kwa moja kwa mengi zaidi