Kituo cha utahini kwa wauguzi wanaotaka kuhudumu ughaibuni chazinduliwa Nairobi

  • | KBC Video
    67 views

    Wauguzi wa humu nchini wanaonuia kufanya kazi nchini marekani, Canada, na Australia sasa wataweza kupata leseni na cheti kwa urahisi. Hii ni kufuatia kuzinduliwa kwa kituo cha utahini cha Pearson Virtual Enterprise jijini Nairobi, hatua itakayopunguza gharama ya usafiri hadi nchini India au Afrika kusini kupata cheti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive

    arson