Kituo cha wasio na makazi katika Ukanda wa Maziwa Makuu .

  • | BBC Swahili
    462 views
    Marguerite Barankitse ni mwanaharakati na mwanzilishi wa kituo cha Maison Shalom nchini Burundi, ambaye alijitolea kusaidia wale ambao walikuwa hatarini kufuatia mauaji ya kikabila yaliyotokea kwa nyakati tofauti nchini Burundi. Marguerite Barankitse [Maggy] alikimbilia Rwanda mwaka 2015 akishutumiwa na serikali ya Burundi kuungana na wale waliotaka kupindua serikali, madai ambayo anayokanusha. Barankitse anasema hana hamu ya kurejea nchini humo hadi usalama utakaporejea. ✍️: Yves Bucyana #bbcswahili #burundi #rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw