Kulea watoto walio na ulemavu kuna changamoto kadha wa kadha ambazo huenda zikachangia matatizo ya afya ya akili kwa wale wanaotoa huduma hiyo. Hata hivyo, huenda walezi wa watoto walio na ulemavu wakapata afueni kufwatia ujenzi wa kituo maalum kitakachowawesha kuwapeleka wanao kuhudumiwa kwa wiki mbili bila malipo
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya