Kiwanda cha kusaga miwa cha Nzoia kurejelea shughuli baada ya madeni yake kutupiliwa na serikali

  • | West TV
    69 views
    Hali ya uchumi katika kaunti ya bungoma inatarajiwa kuboreshwa kufuatia mikakati ya kurejelea shughuli za kusaga sukari katika kiwanda cha sukari cha nzoia kuanzia juma lijalo