Kiwanda cha kutengeneza simiti, Pokot Kusini.

  • | West TV
    35 views
    Rais William Ruto amefungua rasmi kiwanda cha kutengeneza simiti eneo Le Sebit eneo bunge la Pokot Kusini chenye gharama ya shillingi billioni arobaini na tano ambacho kinalenga kutoa nafasi za ajira 2500 kwa wakazi wa eneo ilo.