Kiwanda cha mpunga Siaya

  • | Citizen TV
    339 views

    Zaidi ya wakulima 800 wa mpunga katika eneo la Usonga, kaunti ya Siaya wana matumaini ya kupata mapato bora na kujiendeleza kiuchumi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda cha usagaji mpunga cha Siriwo. Kiwanda hicho cha kwanza katika kaunti hiyo kinatarajia kuwapa nafuu wakulima ambao wamekuwa wakipunjwa na madalali kutoka nchi jirani ya Uganda ambao hununua mpunga kwa bei duni. Mulindi Carey na kina cha taarifa hiyo kutoka Siaya