Kiwango cha maambukizi ya COVID sasa kimepanda

  • | KBC Video
    Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 humu nchini kimeongezeka hadi asilimia sita baada ya watu 277 zaidi kubainishwa kuwa na virusi vya Korona. Wizara ya afya inasema idadi ya vifo kutokana na ugonjwa huo pia imeongezeka katika muda wa saa 24 zilizopita. Aidha, idadi ya wagonjwa waliolazwa kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi imeongezeka hadi 61 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive