Kiwango cha maambukizi ya korona chapungua huku watu 1,035 wakiambukizwa

  • | KBC Video
    Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 kinaendelea kupungua nchini. Katika kipindi cha saa 24 iiopita watu 1,035 walidhibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo kutoka sambuli 9,337 zilizofanyiwa uchunguzi. Kiwango cha maambukizi sasa ni asilimia 11.1%. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #omicron #covid19