Kiwango cha maambukizi ya Korona kimeanza kupungua huku wizara ya afya ikitangaza visa vipya 366

  • | KBC Video
    Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Korona nchini kimeanza kupungua huku wizara ya afya ikitangaza kwamba visa vipya 366 vimeripotiwa katika muda wa saa 24 iliopita kutoka sambuli 3,664. Kufikia leo, kiwango cha maambukizi nchini ni asilimia 10 huku mtu moja akipoteza maisha yake kutokana na ugonjwa wa COVID-19 . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive