Skip to main content
Skip to main content

Kiwavi wa baharini wa kipekee aonekana

  • | BBC Swahili
    3,440 views
    Duration: 28s
    Wanasayansi wamefanikiwa kumpiga picha kiwavi wa baharini (Jellyfish) adimu sana ambaye ni mkubwa kupita kawaida mwenye urefu wa mita 10. Jellyfish huyu anaishi kwenye kina kirefu cha bahari, sehemu ambayo si rahisi kufikiwa wala kuonekana na binadamu, ndiyo maana huonekana mara chache sana. #bbcswahili #bahari #viumbewabaharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw