Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa cha kifo tata cha mwanafunzi Moses Joseph

  • | Citizen TV
    2,764 views
    Duration: 4:59
    Siku moja baada ya kifo tatanishi cha mwanafunzi wa gredi ya 8 Katika kaunti ya Nakuru, upasuaji wa maiti ili kubaini chanzo cha kifo cha Moses Joseph unafanyika Leo Katika hospital ya rufaa ya Nakuru.