Kizaazaa cha shuhudiwa katika hospitali ya KNH

  • | Citizen TV
    16,544 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta kufika kumchukua mwenzao Philip Oketch, aliyepigwa risasi kwenye vurumai la maandamano hapo jana. Phillip Oketch ambaye ni mmoja wa watu waliopigwa risasi jijini Nairobi baadaye akihamishwa hadi hospitali ya KU.