Kizaazaa Kilishuhudiwa Katika Uzinduzi Wa Chama Cha Gachagua, DCP

  • | NTV Video
    58,431 views

    Walinzi wa Gachagua walilazimika kufyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni walioingia kuvuruga uzinduzi wa chama cha Gachagua, DCP.

    Gachagua alimchagua Cleophas Malala kama kaimu naibu kiongozi wa DCP.

    Malala amesema chama cha DCP ni cha Wakenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya