Kizaazaa kilishuhudiwa Mumias baada ya familia ya mke wa kwanza na pili kutofautiana kumzika mumeo

  • | TV 47
    35 views

    Kulishuhudiwa kizaazaa katika boma la mzee Joseph Otipa aliyefariki miezi miwili iliyopita baada ya familia yake kutofautiana kuhusu sehemu ya kumzika mzee huyo licha ya mahakama ya Kakamega kutoa uamuzi wake.

    Mahakama hiyo ilimruhusu mke wa kwanza kuuzika mwili huo nyumbani kwao katika kijiji cha Mayala, Mumias Mashariki ila mzozo uliibuka huku watu saba wakijeruhiwa vibaya baada yake kutaka kumzika katika shamba la urithi na wala sio wanakoishi.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __