Kizazi cha 'gen z' Marsabit chataka vijana wajumuishwe

  • | Citizen TV
    80 views

    Vijana wa kizazi cha gen z wanapoendelea kushinikiza mageuzi ya uongozi nchini, wameelezea haja ya wao kuhusishwa uongozini kikamilifu ili kuchangia katika kuleta mabadiliko.