Kizungumkuti cha huduma namba

  • | TV 47
    Baadhi ya wabunge wa mrengo wa tangatanga katika chama cha jubilee wameibua maswali kuhusiana na uhalali wa huduma namba wakidai kuwa inatumika kufyonza mali ya umma. #TV47OnDSTV