- 13,451 viewsDuration: 1:36Klabu ya Soka ya Arsenal huenda wakatangazwa kuwa mabingwa wa Epl msimu huu Kama Man City watafungwa ama kutoka suluhu katika mchezo wao wa leo usiku watakapowakabili AFC Bournemouth. @loko.omi anaelezea. Je nini maoni yako #bbcswahili #kandanda #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw