Klabu ya Rotary yatoa msaada wa vitabu Lamu

  • | Citizen TV
    78 views

    Klabu ya Rotary tawi la Lamu, ikishirikiana na Wizara ya Elimu kaunti ya Lamu, imetoa msaada wa vitabu zaidi ya mia tano katika shule ya msingi ya Bahari Njema iliyoko wadi ya Mkunumbi.