KMFRI yazindua mbinu mpya ya ufugaji wa samaki baharini kutumia vizimba vya plastiki

  • | Citizen TV
    200 views

    Taasisi ya utafiti wa uvuvi na bahari (KMFRI) imezindua mbinu mpya ya ufugaji wa samaki baharini kutumia vizimba vya plastiki vyenye umbo la mviringo eneo la Kijiweni huko Shimoni kaunti ya Kwale.