KMPDC yaagiza kufungwa kwa tawi la Braeside la hospitali ya Chiromo

  • | KBC Video
    34 views

    Tume ya madaktari na wataalamu wa meno nchini imeiagiza hospitali ya Chiromo, tawi Braeside kuwahamisha mara moja wagonjwa wote na kukomesha huduma zote za matibabu hadi ilani itakapotolewa tena. Ilisema kuwa hatua hiyo itawezesha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mgonjwa Susan Kamengere Njoki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive