KMPDU chatishia kusambaratisha huduma za matibabu kote nchini katika siku 60 zijazo

  • | Citizen TV
    204 views

    Chama cha madaktari nchini KMPDU kimetishia kusambaratisha huduma za matibabu kote nchini katika siku 60 zijazo ikiwa serikali itafeli kuweka mikakati ya kuwaajiri madaktari zaidi kila mwaka. KMPDU ilifutilia mbali mipango ya mgomo mwezi wa Januari baada ya kufanya mazungumzo na serikali.