KNCHR: Miili ya Watu 17 waliouawa siku ya Saba Saba imefanyiwa upasuaji

  • | NTV Video
    241 views

    Tume huru ya haki za binadamu nchini, KNCHR, imeeleza kwamba miili ya watu 17 kati ya 38 waliouawa kwenye maandamano ya Saba Saba wiki jana imefanyiwa upasuaji. Tume hiyo imeeleza kwamba maafa ya watu hao yalichangiwa na polisi, kwani watu 37 waliaga dunia baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano hayo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya