- 397 viewsDuration: 2:22Tume ya taifa ya kutetea haki za kibinaadamu ya KNCHR imeelezea kughadhabishwa kwake na kile inachokitaja kuwa ukosefu wa uwazi katika chaguzi ndogo zilizofanyika majuzi. Tume hiyo ikilalamikia hatua ya baadhi ya maafisa wake kuzuiliwa nje ya baadhi ya vituo vya kupigia kura. KNCHR ikishikilia kuwa uchaguzi huo haukuwa wenye haki