KNCHR Yataka Fidia Zaidi kwa Waathiriwa wa Maandamano | Yataka kesi ziangaliwe upya

  • | Citizen TV
    176 views

    TUME YA KITAIFA YA KUTETEA HAKI ZA KIBINAADAM NCHINI KNCHR SASA INATAKA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO KUPEWA FIDIA ZAIDI YA PESA WALIZOAHIDIWA. TUME HII SASA IKITAKA KAMATI MAALUM ILIYOBUNIWA KUANGAZIA UPYA KESI ZA WAATHIRIWA KUHAKIKISHA HAKI NA UWAJIBIKAJI ZINAAFIKIWA