KNEC inasema inasahihisha dosari ya visa 1,935

  • | Citizen TV
    1,045 views

    Hayo yakijiri, baraza la mtihani nchini KNEC limesema kwamba linarekebisha takriban visa elfu mbili vilivyotokana na makosa ya usahihishaji wa mtihani wa mwisho wa KCPE wa mwaka huu. Hatua hii inafuatia malalamishi kutoka kwa wazazi na wanafunzi wa shule ambazo matokeo yao yaliathirika. Haya yakijiri huku kamati ya bunge la kitaifa kuhusu Elimu ikitaka Jopokazi la kushugulikia malalamishi yanayotokana na mitihani ya kitaifa kubuniwa Mara moja