KNUT inashikilia msimamo wake kuhusu mgomo

  • | Citizen TV
    183 views

    Viongozi wa chama cha walimu - KNUT- tawi la Nyamira wameshikilia misimamo wao kuwa hawatarejea darasani kwa muhula wa tatu hadi pale tume ya huduma za walimu itakapotekeleza mkataba wa makubaliano na kuongeza mishahara yao kwa asilimia 4%.