Kocha wa soka John Bobby Ogolla amwomboleza Leonard Mambo Mbotela

  • | NTV Video
    227 views

    Kocha mkongwe John Bobby Ogolla maarufu kama Six Million Dollar Man, amemwomboleza aliyekuwa mtangazaji nguli wa kandanda Leonard Mambo Mbotela kama shujaa aliyewajenga wachezaji wengi wakati wa enzi zao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya