Kocha wa timu ya Harambee Stars Engin Firat awataka wachezaji chipukizi kwenye kikosi chake

  • | Citizen TV
    789 views

    Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars Engin Firat anawataka wachezaji chipukizi kwenye kikosi chake kuonyesha tarriba yao katika mchuano wa kirafiki nchini mauritius kuanzia siku ya jumapili. Harambee stars imepangiwa mechi tatu dhidi ya Eritrea, Pakistan na wenyeji Mauritius.