Kombe la Dunia 2022: Jezi feki zaendelea kuuzwa kwa mashabiki Senegal

  • | VOA Swahili
    389 views
    Kwenye mtaa maarufu mjini Dakar jezi feki za Senegal zinauzwa na wengi huvutiwa kuzinunua wakati huu wa michuano ya Kombe la Dunia. Katika repoti hii suala la kudhibiti jezi hizi bandia linatolewa maelezo. Endelea kumsikiliza mwandishi wetu akieleza kwa muhtasari. #mtaa #senegal #dakar #biashara #jezibandia #mashabiki #beinafuu #voa #voaswahili #doha #Qatar #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.