Kombe la Dunia 2022: Mashabiki wa Morocco walivyoshangilia ushindi wa kihistoria

  • | BBC Swahili
    820 views
    Morocco imewek historia katika Kombe la Dunia kuwa taifa la kwanza la Kiarabu kutinga hatua yar obo fainali. Timu hiyo iliilaza Uhispania katika hatua ya timu 16 bora kwa mikwaju ya penalti , kupitia mchezaji aliyezaliwa Madrid Achraf Hakimi. Baada ya mechi hiyo Doha ilibadilika na kuwa sherehe kwa mashabiki wa Morocco walikuwa wakiimba na kushangilia.