Kombe la Dunia 2022: 'Nikikunyoa vizuri lazima ufunge bao'

  • | BBC Swahili
    228 views
    Kinyozi raia wa Tunisia anayeishi Doha amewanyoa wachezaji wengi wa soka katika mashindano ya Kombe la Dunia. - Houssem Sakka ameikuza biashara yake kwa kutumia mtandao wa Instagram ambapo huchapisha picha za mitindo mbalimbali ya nywele. BBC ilimtembelea na kutuandalia taarifa hii. #bbcswahili #kombeladunia #biashara