Kombe la Dunia 2022: Nilitembea kwa kilomita 1,600 kufika Qatar

  • | BBC Swahili
    842 views
    Kombe la Dunia la Qatar 2022 imejawa na utata. Lakini kwa mashabiki wa soka wa Kiarabu, ni fursa ya kuishi hali ya mojawapo ya matukio makubwa ya michezo ya kimataifa. Kwa Abdullah al-Salmi, ni ndoto iliyotimia. Ametembea kilomita 1600 kutoka mji alikozaliwa wa Jeddah huko Saudi Arabia, hadi Doha. Na ameiambia BBC kwamba licha ya changamoto alizokumbana nazo, safari hiyo ilikuwa ya thamani yake. #bbcswahili #kombeladunia2022 #qatar