Kombe la Dunia: Ghana yaibwaga Korea Kusini kwa mabao 3-2

  • | VOA Swahili
    1,969 views
    Ghana yaibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini na kuwapa matumaini mashabiki wa soka barani Afrika. Utawala wa Rais Biden unatafuta dola za Marekani bilioni 37 ikiwa ni msaada wa Ukraine katika wiki zijazo kabla ya baraza jipya la wawakilishi kuanza kazi Januari. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.