Kombe la Dunia la Wanawake 3035

  • | BBC Swahili
    354 views
    Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake imekuwa na msisimko wa kiasi chake wakati timu mbalimbali zikionesha ubora wao na hatimaye kupatikana kwa wababe wawili ambao ni Uingereza na Uhispania watakao menyana Jumapili ili apatikane mshindi wa Kombe hili. Mwandishi wa BBC @frankmavura anaangazia safari ya michuano hii kuelekea kupatikana bingwa wa Kombe la Dunia kwa Wanawake kwa Mwaka 2023. 📽️: mauriceraph *bbcswahili #WWC #WWC23