Kombe la Dunia: Tazama maeneo yaliopata umaarufu nchini Qatar

  • | BBC Swahili
    1,769 views
    Leo saa nne usiku, Morocco, timu pekee kutoka Afrika iliyosalia katika michuano ya Kombe la Dunia itakutana na mabingwa watetezi Ufaransa katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwa fainali inayotarajiwa kuchezwa tarehe 18 Disemba. Mwanahabari wetu Salim Kikeke amezuru maeneo mbalimbali ya kuvutia na ambayo yapata umaarufu kutokana na michuano hiyo nchini Qatar. #bbcswahili #kombeladunia2022 #qatar2022