Kombe la Mozzartbet: Mabingwa wapya watarajiwa baada ya Kenya Police kubanduliwa

  • | NTV Video
    92 views

    Kombe la Mozzartbet litakuwa na mabingwa wapya baada ya Kenya Police kubwagwa kwenye robo fainali na Mara Sugar huku Gor Mahia wakijikatia tiketi ya fainali kwa kushinda Murang'a Seal kwenye mikwaju ya penalty ugani Dandora.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya