Kongamano cha cop28 linajadili mbinu za kukabili tabianchi

  • | Citizen TV
    85 views

    Kongamano la umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi linaendelea jijini Dubai na leo masuala ya vijana, jinsia na walemavu yanaangaziwa. Mashirima Kapombe anafuatilia matukio jijini Dubai