Kongamano la 28 la makatibu lafanyika Mombasa

  • | Citizen TV
    207 views

    Kongamano la 28 linalowaleta pamoja makatibu nchini limeng'oa nanga kisiwani mombasa. Mkuu wa utumishi wa umma Felix kosgei anatazamiwa kuzindua kongamano hilo linalolenga kupunguza gharama ya matumizi na kuwekeza katika sekta za kuboresha uchumi.