Kongamano la Afrika la mabadiliko ya tabia nchi ni wiki ijayo

  • | K24 Video
    48 views

    Bara la afrika linakongamana jijini Nairobi kwa mara ya kwanza, kuzungumzia suala nyeti la mabadiliko ya tabia nchi ambayo meliadhiri pakubwa. Masuala matano muhimu ambayo kongamano hilo la kwanza la afrika kuhusu mazingira litaangazia japo bara hili linachangia kwa kiwango kidogo zaidi ongezeko la gesi ya kaboni hewani ambayo hupelekea kuwepo kwa joto jingi ulimwenguni.