- 16,996 viewsDuration: 28:10Rais wa Ufaransa Emamnuel Macron amesema kuna haja ya mataifa ya Afrika na Ulaya kushirikiana kwa ukaribu zaidi katika sekta mbalimbali ikiwemo teknolojia na nishati ili kuimarisha maisha ya wananchi hasa vijana. Rais William Ruto amesema ushirikiano ni njia muhimu ya mataifa masikini duniani kupunguza utegemezi wao kwa usaidizi kutoka mataifa makubwa kiuchumi duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw