Kongamano la kihistoria la kukomesha matumizi ya plastiki duniani lakamilika Nairobi

  • | VOA Swahili
    117 views
    Kongamano la kutengeneza mkataba wa kihistoria wa kukomesha matumizi ya plastiki duniani limekamilika jiji Nairobi Kenya. Aidha kongamano hili limekosa kufaulu katika kuyashawishi mataifa yanayozalisha mafuta kuhusu umuhimu wa kukatiza uzalishaji wa plastiki duniani. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.